Ilikua ni siku ya pekee ya kihistoria katika maisha ya Mjasiriamali,Champion,Mpambanaji Meshack Maganga,Yeye pia ni program coordinator at BHCD-iringa Tanzania ambayo ilionyesha uamuzi wake sahihi kwa Bi Rose Ambali.Team ya BURUDIKA BLOG ilikuwepo kuhakikisha matukio muhimu hayakosekani katika historia yao.Tulijaribu kupata dakika chache na kushare ni vipi anajisikia katika siku hii muhimu na hiki ndicho alichokisema:-
TEAM YA BURUDIKA BLOG INAKUTAKIA KILA LA KHERI
IN YOUR SUPER MEMORABLE LIFE EVENT!!!