Friday, January 30, 2015

METAL BEDS 

Karibuni wadau kwa bei yetu ya sale inayoendelea na tuko tayari kuwahudumia...TUWASILIANE KWA 0714950054

Size 5 by 6 tshs. 380,000.





hii ya chini Size 4 by 6 tshs. 320,000



Size 4 by 6 tshs. 320,000 @




ya chini Size 5 by 6 tshs. 380,000.




hii ya chini ni Size 4 by 6 tshs. 320,000

Tuesday, January 20, 2015


Yeye ni zaidi ya umuonavyo na Kipaji chake ni zaidi ya kuchekesha,kwani utajifunza,ni  MWANAFAMILIA MWINGINE WA BLOGU HII, NI EMMANUEL MATHIAS MAARUFU KAMA MC PILIPILI.YEYE NI KATI VIJANA WENYE VIPAJI LUKUKI IKIWEMO UTANGAZAJI,UCHEKESHAJI NA MUONGOZA SHEREHE (MC). MC PILIPILI HUSHIRIKIANA NA WWW.BURUDIK.BLOGSPOT.COM  KATIKA KAZI ZAKE. MCHAGUE MC PILIPILI KUWA MSHEREHESHAJI KATIKA SHUGHULI YAKO NA HUTOJUTA KUFANYA KAZI NA YEYE, KAMA UNAPENDA KUCHEKA LAZIMA UKAEEEEEEEEEEE! KAA MKAO WA KULA KUPATA FULL STORY YA WAPI ALITOKA MPAKA HAPA ALIPOFIKIA. FOR MORE DETAILS WASILIANA NA SISI KUPITIA 0714950054



2

Anachosema ni kuwa kila kitu kinawezekana kama utaweka bidii na kufanya kazi.....na inabidi tusichague kazi,ni bora kufanya kitu kile unachokipenda kwani utafanya kwa moyo kuliko kufanya ili mtu fulani akuone......REAL INSPIRED FROM THIS!


5


HAPA AKIWA KATIKA MOJA YA SHEREHE KAMA MC...............WE ARE SO PROUD OF YOU MC PILIPILI +Pilipili Mc 


3


4
 ha haaaaaaaaaaaaaa''''''Ni kazi kwa kwenda mbele


6

Tuesday, January 13, 2015

2015 SHUKRANI!!!


Team ya BURUDIKA BLOG inapenda kutoa shukrani kwa wadau wote kwa ushirikiano uliopata kwa wadau,wateja mbalimbali na inapenda kuahidi kuwa iko tayari kutoa vitu vizuri kwa mwaka 2015 na hii ndio itakua LOGO YETU MPYA.Tunaomba wote tukae mkao wa kula kwa kupata vitu vizuri zaidi.Kwa pamoja tunaweza,Tunawapenda sana.
TCHEEERSSS FOR 2015!!!


BURUDIKA BLOG!!!