Yeye ni zaidi ya umuonavyo na Kipaji chake ni zaidi ya kuchekesha,kwani utajifunza,ni MWANAFAMILIA MWINGINE WA BLOGU HII, NI EMMANUEL MATHIAS MAARUFU KAMA MC PILIPILI.YEYE NI KATI VIJANA WENYE VIPAJI LUKUKI IKIWEMO UTANGAZAJI,UCHEKESHAJI NA MUONGOZA SHEREHE (MC). MC PILIPILI HUSHIRIKIANA NA WWW.BURUDIK.BLOGSPOT.COM KATIKA KAZI ZAKE. MCHAGUE MC PILIPILI KUWA MSHEREHESHAJI KATIKA SHUGHULI YAKO NA HUTOJUTA KUFANYA KAZI NA YEYE, KAMA UNAPENDA KUCHEKA LAZIMA UKAEEEEEEEEEEE! KAA MKAO WA KULA KUPATA FULL STORY YA WAPI ALITOKA MPAKA HAPA ALIPOFIKIA. FOR MORE DETAILS WASILIANA NA SISI KUPITIA 0714950054
Anachosema ni kuwa kila kitu kinawezekana kama utaweka bidii na kufanya kazi.....na inabidi tusichague kazi,ni bora kufanya kitu kile unachokipenda kwani utafanya kwa moyo kuliko kufanya ili mtu fulani akuone......REAL INSPIRED FROM THIS!
HAPA AKIWA KATIKA MOJA YA SHEREHE KAMA MC...............WE ARE SO PROUD OF YOU MC PILIPILI +Pilipili Mc
ha haaaaaaaaaaaaaa''''''Ni kazi kwa kwenda mbele
No comments:
Post a Comment