Sunday, January 6, 2013

for sale'''

Jamani wadau huwa tunakua na kipengele cha kuuza vitu ambavyo unahisi hauko willing yani labda unahitaji kubadilisha furniture na unahitaji kuuza ulizokuwa nacho basi usisite kutufahamisha na tutakufikia sababu tunaamini kuna kitu ambacho ww unaweza ona hakifai kwako kwa mda huo ila ikawa msaada mkubwa kwa mwingine katika kupamba nyumba zetu kuliko kujaza mavitu mengi bila mpangilio,inawezekana Kama kuna vitu vya ndani,ofisini n.k basi usisite kuwasiliana nasi  kwa 0714950054

asanteni karibuni sana!!!!!!!!!

Mfano kwenye hizi picha ni baadhi ya wadau wetu ambao walikua wanauza vitu vyao na ilikua kama ifuatavyo

For Sale.....Tshs 400,000/-




Sofa zinauzwa set ya watu 7,


Kabati linauzwa..........(bila vyombo) 150,000/-

Kabati bado zuri, linauzwa, bila vyombo, liko tabata, wasiliana na 0713-123640.........

You might also like:


Everything must go......(For sale furnitures...)



 Sofa set, bei ni tshs.800,000/- ziko katika hali nzuri......single sitter 1, two sitter 1

 Kabati bei tshs.150,000/-

Meza ya chakula bei tshs.350,000/-


Wasiliana na 0713-123640


Ofa ya vitanda kwa single mothers.... 

Katika vitu ambavyo huwa tunafanya ni ofa mbalimbali na hii ilikua special for single mothers jamani  ilibidi tuje na kitu tofauti kidogo.tulipata wadau wengi sana na walipenda na kununua zaidi ya matarajio...stay tuned for more offers to come.....we are real here for decoration

vitanda hivi ni tano kwa sita... bei ni 295,000/- karibu ......

To all the single mums out there.......



Toa order yako na itachukua siku saba kua tayari na vitanda hivi ni bila godoro


Nawapenda woteeeee.......

Na mungu awe nanyi katika ulezi bora wa familia zenu.

Karibuni sanaaaaaaa




No comments: