STARA THOMAS.............
Ni Aliyekua muimbaji wa nyimbo za bongo fleva Stara Thomas sasa amempa Bwana Yesu maisha yake!
Hapo awali alisikika kwa nyimbo maarufu kama Sikia, Sitorudi nyuma, my
body na Chldren rights ambapo hivi karibuni amevuma na wimbo wa nipigie
alioshirikishwa na AT.
Stara alipoulizwa kuhusu maamuzi yake haya binafsi alieleza
“Nilipata wito kutoka kwa Yesu kwa kuwa aliwaita watu wote wasumbukao na kulemewa na mizigo waende kwake atawapumzisha” alisema.
Awali alikua akiabudu dhehebu la Jamatrine kwa sasa anaabudu kanisa la
Shalom lililoko Mbezi Salasala! NA endapo ukihitaji kumuunga mkono kwa kununua album yake mpigie simu ifuatayo +255 718 030 411
Uongozi wa BURUDIKA BLOG UNAKUTAKIA KILA LA KHERI NA MUNGU AKUBARIKI katika kulitangaza jina la bwana
Hii ni cover ya Albamu yake hiyo mpya kama inavyojieleza
hapa ikionyesha nyimbo zilizomo katika albam hiyo
No comments:
Post a Comment