Tamhiliya ya aina yake inayokwenda kwa jina la siri ya mtungi inayodhaminiwa na KAMPUNI YA WATU WA MAREKANI ya MFDI yaani MEDIA FOR DEVELOPMENT INTERNATIONAL imezinduliwa jijini katika ofisi zao zilizopo msasani na itakua ikirushwa na ITV pamoja na EATV
hivi ndivyo ilivyokua
Hapa ni mkurugenzi akiongea katika uzinduzi huo
hapa ni mkuu wa vipindi wa itv na eat akiongea machache kuhusiana na tamthiliya hio
Huyu ni muhusika mkuu alieigiza kama cheche
na hapa ni washiriki mbalimbali walioshiriki tamthiliya hiyo


No comments:
Post a Comment