SECOND CHANCE'''''''''''''
Kwa mtazamo wangu kila mtu anayo nafasi ya kupata second chance kwani hakuna aliye mkamilifu chini ya jua na hakuna ambae aliwahi kukaa bila kukosea eneo fulani so ray c ni sehemu yake ya kujifunza na kusonga mbele
Hatimae Ray c amshukuru rasmi Raisi Jakaya Kikwetre Kwa msaada aliompa kwani sasa amekiri kupona na hali yake kuimarika sasa..
Pichani ni ray c na raisi JAKAYA KIKWETE alipomtembelea ikulu mjini Dar es salaam
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na Ray C watu
kushoto,Mama yake mzazi RayC Bibi Margareth Mtweve(kushoto) na kulia ni
Sarah Mtweve Dada yake Ray C(Picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment