Monday, January 21, 2013

moja ya kazi ya home deco


Hii ni mojawapo ya kazi ya Homez Deco ambayo mteja wetu alitaka tumchoree katika duka lake la vitu vya watoto ........ tunakukaribisha hata km una sehem ndogo ichore papendeze sababu ni kimfaacho mtu chake










hapa kazi ndio ilikua inaanza

Hili ni duka la nguo za watoto, Homez Deco, tuli design, na kuchora hizo picha, kama ninavyosema, kila kitu kinawezekana hapa kwetu, big up  Tom & Jerry



 Pia hapa tunapokea uhitaji wa mtu anataka achorewe nini kati ya cartoons nyingi zilizopo hata kama itakua ni image ya picha ya mtoto mwenyewe iwe chumbani kwake inawezekana kabis.

No comments: