leo ni Curtain Rails....jionee'' na kazi ilikua kama ifuatavyo........
|
Hapa Pazia letu liko tayari |
|
Fundi akifanya final touches |
|
Tuna taste kama rail zetu zinafanya kazi, |
|
Hapa tumeweka sheer |
|
Hapa sylivia akitaste hizi
kamba, na pia uimara wa rail ilivyoshika ukuta, (isije leta balaa), then
akampa go ahead fundi kuweka pazia sasa, baada ya yeye kuridhika na
uimara,hapa ni kazi tu kwakweli'' |
|
Fundi akifitisha kamba,hakuna mchezo manaake hii ni hela ya mtu anaehitaji kitu kizuri kutunza nyumba yake,so wakati wote tunaheshimu kazi zetu na kuzingatia maadili ili kumfanya mteja wetu aridhike na kilichofanyika |
|
kazi ilianza hivi
Leo nimeona
tuongelee kuhusu curtain rails, hizi kama zinavyoonekana hapa, moja ni
ya pazia nyepesi, na ingine ni ya pazia nzito, sasa basi kwa wale
wasiopenda mambo ya urembo wa curtain pole, ninawashauri watumie hizi, ni
nzuri, imara, na ni rahisi kutumia, haiharibu ukuta pia.(curtain poles
sio kua zinaharibu ukuta hapana, hii ni kwale wanaopenda vitu simple sababu kila mtu ana mapendekezo binafsi). |
No comments:
Post a Comment