Monday, January 7, 2013

NETI '''


Neti zinazopatikana Homez Deco

Habari wapendwa wadau, hizi ndizo neti zinazopatikana hapa homez deco. kitanda chako kinatakiwa kiwe na chuma ama mbao za pembe nne.

bei ya neti ni kama ifuatavyo:
1. Neti ya kitanda cha 5 by 6 - tshs. 100,000/-
2. Neti ya kitanda cha 6 by 6 - tshs. 150,000/-
3. Neti ya kitanda cha 4 by 6 - tshs. 80,000/-

Na ninachoweza kusema ni kwamba neti hizi tokea nimezitambulisha kwenu kua zinapatikana hapa, kwa kweli nimekua nikipata orders nyingi mno. hivyo ninawashukuru wote na karibuni wote.......

kwa watu wa mikoani mkihitaji tutawatumia kwa basi, ila utalipia gharama ya usafiri. na kwa watu wa DAR ninachoweza kufanya ni kuwaletea mpaka ofisini kwako ila utalipia usafiri....




Neti

Bei ya neti kwa kitanda cha 5 by 6 ni tshs.100,000/-
kitanda cha 6 by 6 ni tshs. 150,000/-

karibuni...



Kitanda cha chuma..... 5 by 6, Kazi ya Homez Deco four poster....


 fundi akiandaa neti,... tunashona neti pia..... neti ni shs. 100,000/-. ni ya kitanda cha 5 by 6, na neti ya kitanda cha 6 by 6 ni 150,000/-. Kitanda cha four poster ni shs. 450,000/-
























karibuni wote......

4 comments:

Anonymous said...

Na je kama mtu una double deka inakuwaje?? juu 4 kwa 6 chini 5 kwa 6 inakuwajee? inafaa? na je bei gani?

Unknown said...

habari anonymous' double deka huwa tunatengeneza na hiyo uliyosema inawezekana pia kuhusu bei kuna namba zipo kwenye post tuwasiliane kwaajili ya kuelekezana vzr itakavyokuwa....asante na karibu sana

Anonymous said...

Thanks so much mpendwa! Can i hve ur email address? Have a nice day!

Unknown said...

siku njema kwako pia ni bkanemba@yahoo.com