usafishaji wa sofa za vitambaa
Usafi wa sofa.....(ya vitambaa...)
Nilitumiwa email na mdau mwenzetu, kua alikua anaomba kujua ni jinsi gani anaweza safisha sofa zake, na ni za vitambaa....
Nashukuru sana sana kwa kuuliza swali lako hapa kwetu, nami napenda kulijibu kama ifuatavyo....
Huku kwetu kwa asilimia kubwa hua hatuna utaratibu wa kusafisha makochi
yetu, na hii ni kutokana na wengi wetu kuto kujua ni products gani
atumie na zinapatikana wapi, sasa inaishia tuu kwenye kufuta futa tuuu,
ama tunasubiria mpaka sofa iwe chafu sanaaa ndio tusafishe.... jua kua
hapo unakua unaliharibu sofa lako na unalichakaza wewe mwenyewe, maana
siku ya kuja kulisafisha ni lazima utalisugua na matokeo yake pale ulipo
sugua rangi haitafanana na sehemu ingine,...
Natumai wengi wetu tunajua ama kusikia haya makampuni ya networking, kwa
kweli kwa sasa yanakuja kwa kasi na ni mazuri maana yana products
nyingi nzuri na ambazo hazijachakachuliwa....ama kua diluted...
Moja ya hii kampuni ni GNLD INTERNATIONAL, Hii kampuni nimeshafanya nao
kazi, kwa miaka 3 na nusu, hii ni kua ninawafahamu, na kufahamu products
zao.... si mnajua siwaletei vitu bila kujua ama kufanya research
kwanza.....
Sasa basi, hii kampuni wana product yao moja kwa upande wa home care....
inaitwa SUPER 10, ni nzuri mno, na kwa wale wanaotaka kubana matumizi,
basi products zao hawa ni nzuri maana una dilute mwenyewe kulingana na
matumizi na mahitaji yako...
Super 10 kama mnavyoiona hapo juu,,, inahitajika kutumika na spray bottle yake, hii ina vipimo kabisa inakuonyesha.....
Kwa wale wenye sofa za vitambaa, kwanza kabisa, inabidi uipanguse vumbi,
ama kama un hoover basi puliza, hakikisha hakuna vumbi kila mahali,
Unatakiwa kua na kitambaa kisafi kama kitaulo kisicho toa mavumbi, ama manyoa, maana itazidi kuchafua.
Hiyo Super 10 unaichanganya na maji katika ujazo wa 1:20 (vipimo viko
kwenye spray bottle), halafu unaitikisa, unafanya hivi ili utakapokuja
ku spray kwenye sofa isitoke maji, inatakiwa itoke povu,
Ukisha spray, unachukua kitambaa chako na unaanza kusafisha kwa design
ya mduara, na usipulize sehemu kubwa, unakwenda kidogo kidogo.... mpaka
unamaliza.
Baada ya hapo acha sofa lako likauke na utakua umeshafisha sofa lako, bila gharama kubwa....
Haihiitaji kua na hela nyingi kusafisha sofa yako kwa kutumia Super 10....
Upatikanaji wa Super 10, ni mpaka uwe member wao, na hapo kunakua na
punguzo la bei, ila sio lazima kujiunga, unaweza kununua kwa mtu ambaye
tayari ni member wao.
Naomba kwa watakaohitaji, mpigie huyu kaka anaitwa Tija, na kwa walio
Dar anaweza kuja hata akakuonyesha jinsi ya kusafisha hapo hapo nyumbani
kwako ama hata ofisini...
Wasiliana nasi kwa 0714950054 beatrice
Ni hayo tu kwa leo...... siku njema...
No comments:
Post a Comment