Tuesday, April 14, 2015

MRADI MPYA

Wadau wa Burudika Blog tunapenda kuwatangazia kuwa tutakua tunawaletea baadhi ya masomo na vifaa tunavyouza vya kilimo kupitia hapa.

Hii ni kutokana na maombi ya wajasiriamali wengi wanaotaka au waliotayari ktk miradi hii ya ukulima na ufugaji wa kisasa. KARIBUNI SANA,


Kuwa Mfugaji Bora Hivi karibuni Hivi vifaa kwa ajili ya Kufugia Kuku vinakufikia je upo Tayari? Whatsapp au SMs naWhatsapp au SMs namba +255 207 238 au +255 950 054 ukipata ujumbe share na wenzako

No comments: