DO MORE OF WHAT MAKES u HAPPY''''
Katika maisha yangu nilipenda kuwa mimi,nilihisi nina kitu ndani yangu kinachoitaji kuwa mimi,nimekuwa nikivutiwa na watu ambao they always trying to be themselves iwe kidini,kiuchumi,kijamii na mafanikio ya watu binafsi, isiwe kufanya kitu kwa kujikweza ili aonekane tu ilimradi huku akiumia kwa njia moja au nyingine,so ni bora uwe wewe as long as unafurahia maisha yako kwa sehem uliyopo hamna haja ya kutafuta makuu ambayo hatuyawezi, i mean fanya katika kuboresha maisha yako kwa sehemu unayoweza bila kukata tamaa na kutia juhudi ili uzidi kupata mafanikio kwani kama utafanya kwaajili ya kuwafurahisha wengine i tell utakesha,sababu tupo duniani kwaajili ya maisha yetu na kumtukuza mungu wetu aliyee juu zaidi ni kuhakikisha heshima inakuwepo kwakila akuzungukae awe mkubwa au mdogo.
Nilipokutana na hii kitu nilifurahunianikwaajili ya maisha yetu na kumtukuza mungu wetu aliye juui nikaona niipost tu
coz its no.1 to me kwakweli'''''''''''
NAHISI IWE NI KAULIMBIU YA BLOGU YETU,
No comments:
Post a Comment