THANKSGIVING
!!!!! THANKSGIVING !!!!!!!!!!!
Bila nyie wadau wangu nisingefika hapa nilipo. Na naomba
mnisamehe kama kuna mahali nimewakera ama kuwa boa, na huwa ninakubali
kosa pale ambapo nimekosea.
Zaidi ninakaribisha maoni zaidi ni vipi tunaweza kuboresha blogu yetu kwa yeyote mwenye wazo,maoni,ushauri n.k niandikie kupitia bkanemba@yahoo.com
Ninashukuru kwa hilo kwani kukubali kosa
ndio mwanzo wa kujifunza zaidi, Nawatakia wote Merry X-mass and A
Happy New Year. From, Miss. Beatrice Kanemba.
I love u all
No comments:
Post a Comment