CURTAIN POLES
Site ya Kitunda (Dar) - Homez Deco, tuliweka curtain poles, pazia na vitanda vya chuma na neti .....
Hapa ndio sitting room baada ya kazi
kumalizika jinsi kunavyoonekana...rangi ya ukuta ni blue....hivyo
nikaweka pazia hizi, zenye doti doti ziweze kuleta mvuto zaidi.....
Kitanda .....kikiwa na neti yake....(ijulikane kua hatuuzi kitanda na godoro)
Dinning room pazia zikiwekwa vizuri...
Dinning room
Pazia za dinning room
Pazia za chumbani.....
Sitting room,
Pazia zikiwekwa vizuri za sitting room
Hizo ni pazia za jikoni, na hizo nyaya ni za hita......
Nyumba hii ni mpya, na mwenye nyumba anataka kuhamia mwezi wa kumi na
mbili, hivyo anafanya kwa awamu, tumemaliza pazia, vitanda, sasa
anajiandaa kuweka furniture zingine zilizobaki, kama sofas, etc.......
Site Mbezi beach.....Tuliweka pazia...na chuma za pazia
Dinning room..........Rangi ya nyumba ni light blue, na ukiangalia kwa
makini, unagundua kua mwenye hii nyumba anapenda neutral colors.....
mpangilio ni mzuri, na hakujaza vitu dinning, dinning si pakujaza vitu,
ndio paonekane pamependeza.....zingatia ukubwa wa dinning room yako,
ndio uweke furniture, Dinning pamependeza.......
Living Room........Hapa pia ni pazuri, na nilipenda alivyoweka carpet
yenye red, maana ime weza kuchangamsha....Ukijiamini unaweza... kupamaba
nyumba yako.......
Hongera kwa mwenye nyumba.......na asante kwa kunipa nafasi ya kupiga picha na kuja ku share na wadau....
No comments:
Post a Comment