1st DAY OF 2013
Wengi wamekukuta njiani hawajui ulipotoka,hawajui uliyopitia,hata hawajui unakokwenda,
Lakini wamejivika umahiri wa kukuchambua na wamegeuka watabiri.
Usitumie muda mwingi kuwafikiria,
safari ni yako na ni ndefu sana, achana na wapita njia elekeza nguvu
zako katika ndoto zako na safari yako, Mlinzi na kiongozi wako ni MUNGU,
sisi wengine ni mashabiki tu,,nakutakia mafanikio mema
mwaka 2013..
No comments:
Post a Comment