Ni New Year'special
Hii Kwa hisani kubwa ya Jumba kubwa katika maswala ya mapambo
Namaanisha''''''
HOMEZ DECO-Kreative homez
Inawaletea ofa maalum kwa ajili ya Mwaka mpya 2013.....Jamani kubwa hapa wapenzi wa Burudika blog tunazidi kukuletea mambo mazuri ni vipi tunaweza kubadilisha nyumba zetu kila siku kwa bei ya kawaida kabisa na kupata mwonekano tofauti kila siku kwa uhakika bila ubabaishaji.Kumbuka your home is the best place to stay,Tumetofautiana kipato ila hata kwa level zetu za kawaida tuna nafasi ya kupendezesha nyumba zetu na tukafurahia,naamini hivyo na tunaweza.
habari njema zaidi ni kwamba wewe mdau na mteja wetu unaweza ukatoa oda na kuanza kutoa pesa ya kitu ulichokipenda taratibu mpaka utakapomaliza tunakupatia bidhaa yako!!!!!!!!!
Na hii ni kuanzia leo rasmi na kuendelea...kila siku utakua unapata mambo mapya bila kuchoka na utaweza kuchagua nini umependa na utatengenezewa kwa mda mfupi,
Tafadhali wasiliana na mimi kwa namba 0714 950054 beatrice au e-mail bkanemba@yahoo.com
Unachotakiwa kufanya ni kuangalia nini umependa na bei yake then utatoa oda yako!!!!!!!
Tunawapenda karibuni sana
Vioo vya ukutani Vyote ni Tshs.130,000/-
Hii ni 280000
Ni meza 180,000
Unachotakiwa kufanya
No comments:
Post a Comment