jamani tujitahidi kubadilika hata kwa kidogo kupendezesha nyumba zetu.....mtu akijakwako angalau apate kitu cha tofauti na kukuuliza,jionee then let me know umependa nini nipigie 0714950054 beatrice.
hivi hapo juu ni small flower verse Tsh. @12,500/= ila hutumika pia kuwekea vitu vidogo vodogo kama hereni,pete,cheni,maofisini hutumika pia kuwekea stationery mezani kweli hupendeza sanaaaaa
Hizi flower verseTsh. 50,000/= kama bakuli na hizo unazozizoona kama mipira ni urembo wa mezaniTsh.@2000/=
Flower verse za round ndogo ni Tsh.25,000/= Hiyo nyeupe Ths.28,000/= nyekundu ya shape ya moyo Tsh.35,000/= Round shape kubwa Tsh.35.000/=
No comments:
Post a Comment