Wednesday, January 2, 2013

plasma tv stand



Plazma tv stands zote kwa Tshs.250,000/= order now

Leo tuone hizi plazma stands, aina hizi za tv zinatakiwa zikae kwenye stands ama ukutani ndio zinapendeza. Homez deco inaziteneneza ila kwa gharama lazima tujue tv yako ina ukubwa gani . wasiliana nasi ILI tujue ukubwa wa TV yako na tutakutengenezea kwa gharama nafuu kama ilivyo kwenye bei zetu hapo juu.

Anza mwaka wako na planning nzuri ya nyumba yako hata kwa stand hii.........jamani no one can come and decorate your place ni wewe mwenyewe...unaweza kuwekeza taratibu ukimaliza unapatiwa bidhaa yako wengi wamependa huduma zetu na bidhaa zetu please try and u will enjoy

    Tunawapenda karibuni sana!!!!!!!!!







No comments: