Tuesday, April 14, 2015

CAGES ZA KUTOTOLEA VIFARANGA ZIMEWASILI


  Karibuni wadau wa KUKU PROJECT BLOG,
Hizi cadges za kutotolea kuku na vifaranga na zinakuja kwa uwezo tofauti kulingana na wingi na uwezo wa kuangua .Zinapatikana wasiliana na sisi kwa 0714 950054 na whatsap 0754207238 kujipatia yakwako.

iunge na Mradi Mkubwa wa Kufuga Kuku na kupata Mashine za Kutotolea Vifaranga.. Ni nzuri kwa sababu unaweza pata hata Mkopo wa mashine hizo ili kujua zadi Like page hii, Pia kwa maelezo piga, Whatsapp au SMs namba
+255 714 950054 na whatsap +255 754 207 238 




MRADI MPYA

Wadau wa Burudika Blog tunapenda kuwatangazia kuwa tutakua tunawaletea baadhi ya masomo na vifaa tunavyouza vya kilimo kupitia hapa.

Hii ni kutokana na maombi ya wajasiriamali wengi wanaotaka au waliotayari ktk miradi hii ya ukulima na ufugaji wa kisasa. KARIBUNI SANA,


Kuwa Mfugaji Bora Hivi karibuni Hivi vifaa kwa ajili ya Kufugia Kuku vinakufikia je upo Tayari? Whatsapp au SMs naWhatsapp au SMs namba +255 207 238 au +255 950 054 ukipata ujumbe share na wenzako

Thursday, April 2, 2015

Ni mzigo uliofika soon please tuwasiliane zinapatikana kwa 85,000 tu.Piga 0714950054



Moja ya mapambo mazuri ya nyumba ni saa....Jipatie hii ya design ya kipekee kwa ths.85000 tu tuwasiliane kwa 0714950054 


Tuesday, March 10, 2015

metal beds available

Metal Beds....

 Price tshs. 350,000/-
 Price tshs. 350,000/-
 Price tshs. 380,000/-
Price tshs. 350,000/-

Note: All prices are 5 by 6 size.
usitake kupitwa.........pata muonekano tofauti wa hafla yako hata iwe ndogo kwa kutupia utamu wa cake kama zifuatazo nikwa sh,2000 tu....karibuni sana kisura cupcake tunawapenda sana...toa oda yako kwa 0714950054


Asanteni wadau wetu,tunaendelea kupokea oda zenu


Asanteni wateja wote wa kisura cupcake,hizi zikiwa tayari kwenda kwa mteja wetu....




Tunapokea oda za cake aina zote,pata muonekano mzuri wa cake yako ukitupia cupcake zenye nakshi na ladha nzuri kama hizi...Toa oda yako kupitia 0714 950054
Karibuni sana


tayari kwenda kwa mteja,its kisura cupcake made this for you,tuwasiliane kwa order zenu kwa 
0714950054



Hii ilikua ni ya mmoja wa wateja wetu,asante sana wadau kutuungisha please toa oda kupitia 0714950054 kujipatia keki nzuri kwa bei nzuri
Na kwa kila oda utakayoweka utapata free 5glasses na 5 free bday caps..
Tunawapendajee sasa

Friday, March 6, 2015

NI CUPCAKE TIME


Asante sana mteja wetu kutuamini na kukuhudumia....Ni faraja yetu kuona mteja anafurahia huduma zetu
Karibuni tunawapenda sana

KISURA CUPCAKE OPENING

Its all abous YUMMIES!
Wellcome lets have your order through 0714950054


KISURA CUPCAKE OPENING

Hellow wadau wa Burudika Blog,tunapenda kuwatangazia kuwa tumeanzisha huduma mpya ya cake....ni mjumuisho wa aina mbalimbali wa cake Zinazovutia na kupendeza,especially for kids parties na nyingine nyingi.LETS MAKE YOUR DAY!

Tunawapenda sana,karibuni sana

Kwa oda tafadhali wasiliana nasi kwa 0714 950054


Friday, January 30, 2015

METAL BEDS 

Karibuni wadau kwa bei yetu ya sale inayoendelea na tuko tayari kuwahudumia...TUWASILIANE KWA 0714950054

Size 5 by 6 tshs. 380,000.





hii ya chini Size 4 by 6 tshs. 320,000



Size 4 by 6 tshs. 320,000 @




ya chini Size 5 by 6 tshs. 380,000.




hii ya chini ni Size 4 by 6 tshs. 320,000

Tuesday, January 20, 2015


Yeye ni zaidi ya umuonavyo na Kipaji chake ni zaidi ya kuchekesha,kwani utajifunza,ni  MWANAFAMILIA MWINGINE WA BLOGU HII, NI EMMANUEL MATHIAS MAARUFU KAMA MC PILIPILI.YEYE NI KATI VIJANA WENYE VIPAJI LUKUKI IKIWEMO UTANGAZAJI,UCHEKESHAJI NA MUONGOZA SHEREHE (MC). MC PILIPILI HUSHIRIKIANA NA WWW.BURUDIK.BLOGSPOT.COM  KATIKA KAZI ZAKE. MCHAGUE MC PILIPILI KUWA MSHEREHESHAJI KATIKA SHUGHULI YAKO NA HUTOJUTA KUFANYA KAZI NA YEYE, KAMA UNAPENDA KUCHEKA LAZIMA UKAEEEEEEEEEEE! KAA MKAO WA KULA KUPATA FULL STORY YA WAPI ALITOKA MPAKA HAPA ALIPOFIKIA. FOR MORE DETAILS WASILIANA NA SISI KUPITIA 0714950054



2

Anachosema ni kuwa kila kitu kinawezekana kama utaweka bidii na kufanya kazi.....na inabidi tusichague kazi,ni bora kufanya kitu kile unachokipenda kwani utafanya kwa moyo kuliko kufanya ili mtu fulani akuone......REAL INSPIRED FROM THIS!


5


HAPA AKIWA KATIKA MOJA YA SHEREHE KAMA MC...............WE ARE SO PROUD OF YOU MC PILIPILI +Pilipili Mc 


3


4
 ha haaaaaaaaaaaaaa''''''Ni kazi kwa kwenda mbele


6

Tuesday, January 13, 2015

2015 SHUKRANI!!!


Team ya BURUDIKA BLOG inapenda kutoa shukrani kwa wadau wote kwa ushirikiano uliopata kwa wadau,wateja mbalimbali na inapenda kuahidi kuwa iko tayari kutoa vitu vizuri kwa mwaka 2015 na hii ndio itakua LOGO YETU MPYA.Tunaomba wote tukae mkao wa kula kwa kupata vitu vizuri zaidi.Kwa pamoja tunaweza,Tunawapenda sana.
TCHEEERSSS FOR 2015!!!


BURUDIKA BLOG!!!