Mchekeshaji wa kundi la VUVUZELA ENTERTAINMENT linalosimamiwa na Evans Bukuku, Raymond akionyesha makeke yake, katika onyesho lao ambalo hufanyika kila mwishoni mwa mwenzi ndani Nyumbani Lounge jijini Dar.
Mchekeshaji machachali wa kundi la Vuvuzela, DOGO PEPE akiwavunja mbavu wageni waliojitokeza katika onyesho lao.
watazamaji wakifuatilia kwa makini vichekesho vilivyokua vikiendelea jukwaani
bado wakifurahia show hiyo
Mchekeshaji wa kundi la VUVUZELA ENTERTAINMENT, Evans Bukuku akionyesha makeke yake, katika onyesho lao ambalo hufanyika kila mwishoni mwa mwenzi ndani Nyumbani Lounge jijini Dar.
Mchekeshaji wa kundi la VUVUZELA ENTERTAINMENT, Evans Bukuku, akiwaangalia vijana wake wakifanya makeke yao.
NI mshereheshaji TAJI LIUNDI akiongea na baadhi ya watu waliohudhuria siku hiyo
show ikiendelea
No comments:
Post a Comment