LIFE CHALLENGES. EVENTS .FASHION .LIFESTYLE . .ENTERTAINMENT
Tuesday, December 11, 2012
ILIKUA NI FAINALI ZA EBSS
Mshindi wa Epiq Bongo Star Search 2012WALTER CHILAMBO katikati,baada ya kukabidhiwa zawadi ya mshindi wa kwanza jumla ya Shilingi Milioni 50 za Kitanzania
Mshindi wa pili katika shindano hili kushoto ni Salma Yusuph muda mchache akiwa naWalter Chilambo kabla ya kutangazwa mshindi.
ni wakati wa kufanya make up
Anaitwa Salama mmoja wa majaji wa shindano hili
chini,,,,,,,
Washiriki wa Washindano la EBSS 2012 ambao wamefanikiwa kuingia fainali
ya shindano hilo wakiwa jukwaani usiku huu wakati wa kuanza kwa fainali
hizo. Ni ndani ya Ukumbi wa Diamond Jijini Dar es Salaam. Mshindi
kuondoka na kitita cha Shilingi Milioni 50 za kitanzania.
No comments:
Post a Comment