Tuesday, December 11, 2012

WOMEN IN BALANCE KITCHEN PARTY GALLA



NI mratibu wa Women in Balance Kitchen Party Gala Dina Marios (kushoto) na Mgeni wake kutoka Kenya Bi. Getrude Mungai.(Picha zote na Zainul Mzige).


Salma Msangi wa Channel Ten na Magic Radio.


Mratibu wa Women in Balance Kitchen Party Gala Dina Marios akiteta jambo na Mama Veronica.

 


Ni Aunty Sadaka na Mwanasaikolojia Chriss Mauki.

 

 Warembo katika pozi


Msemaji katika Hafla ya Women in Balance Kitchen Party Gala Mhadhiri Msaidizi wa Idara ya Saikolojia katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Bw. Chris Mauki akitoa somo la Saikolojia



life Style Designer of Sex and Relationships kutoka Kenya Bi. Getrude Mungai akitoa somo la kuhusiana na masuala ya mahusiano ya kimapenzi kwa wenye ndoa na wasiokuwa na ndoa



Msemaji wa mwisho alikuwa ni Mama Veronica aliyewaacha hoi kwa vicheko wanawake waliohudhuria Kitchen Party Gala ambapo alizungumzia masuala ya uvumilivu katika ndoa sio tu kukosekana kwa kipato ndani ya nyumba bali hata mikimiki ya Unyumba kwa wanandoa.




dependent Sales Consultant wa bidhaa za Oriflame Bi. Jesca Mwakyulu akionyesha bidhaa ya Feminele Intimate Wash ya Oriflame 



mmoja wa wadhamini wa Women in Balance Kitchen Part Gala Mwakilishi kutoka TSN Super Market Lizbeth akitangaza zawadi kumi kwa wageni waliohudhuria Kitchen Party Gala

 
 Mkurugenzi wa Prime Time Promotions, Juhyna Kusaga (kushoto) na mdogo wake.

 

 Mbunifu nguli wa mavazi nchini Khadija Mwanamboka (kulia) a.k.a Kubwa la maadui alikwa miongoni mwa waliohudhuria Women in Balance Kitchen Party Gala.

 

 Skylight Band walikuwepo kutumbuiza Hafla hiyo. Uzao wa Bongo Star Search Mary Lukas akitoa burudani.



No comments: