Huyu ndie mshindi Maisha Plus
'''''''''MAISHA PLUS NA BERENIKI KIMARO''''''''''''
Huyu ndie mshindi wa maisha plus..na amejipatia shillingi mill.20
anaitwa bereniki kimaro,,yeye ni mama wa mtoto mmoja mwenye miaka sita,
Offcourse ni lazima alikua na ndoto ya kitu flani imagine leo ndoto yake imekua ni furaha kwake na familia yake na kwa mdomo wake amekiri kuwa yeye c kitu kwa wenzake ila ni MUNGU.
Wadau wa BURUDIKA BLOG tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya
No comments:
Post a Comment