BURUDIKA BLOG!!!!!!!
LIFE CHALLENGES. EVENTS .FASHION .LIFESTYLE . .ENTERTAINMENT
Sunday, December 30, 2012
KID's beds designs PARTY 4
Tuliweka pazia, chumba chao kina madirisha 2....watoto ni wa kiume.....miaka yao ni wa kwanza ana 2 yrs. na wa pili ana miezi 3 sasa....
Kitanda hiki ni cha mtoto wa miezi 3, tulimuewekea hizi chuma pembeni ili kuzuia asidondoke....
vitanda vinavyoonekana kwa mbali......magodoro yatawekwa na yeye mteja, alikua hajanunua bado...
Pazia kwa mbali na vitanda.... chumba kilipendeza .....
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment