MWAKA 2013!!!!!!!! RUHUSU AMANI YAKE KATAA MAHANGAIKO
Yamebaki masaa machache mpaka kuuona mwaka 2013'''''
Jamani Mungu ana huruma,
wema,neema,rehema,upendo sana,
ukitafakari unaweza
anza kulia tu hata kama ni mwanaume na haijalishi uwe ofisini,maombini,
unaendesha gari,umelala,unatembea, unapika,unasoma, unalima huko
village, uko bafuni unakoga, unaweza piga magoti huko huko hata
haisumbui, maji ya mvua uyayokoga yanapoendelea kukumiminikia, unaweza
anza kububujika na machozi ya furaha na kunena mara tu ukumbukapo wema na fadhili zake............
Usikate tamaa kwa yale ambayo hayakuwezekana 2012 basi amini kuwa yatafanyika kwa uwezo wake,.....
blogu hii ya burudika inawatakia kila la kheri katika maandalizi ya kuukaribisha mwaka 2013!!!!
WE ALL LOVE UUUUU!!!!!!
No comments:
Post a Comment