Ni kikao kikubwa kati ya wadau na viongozi mbalimbali wa
muziki na filamu na Mheshimiwa Makala ambaye ni Naibu waziri wa habari, vijana,
utamaduni na michezo
Lengo la kikao hicho ni wasanii kufahamishwa jinsi serikali ilivyojipanga kuwasaidia wasanii wa Tanzania, ili wanufaike na kazi zao na kuwajengea heshima zaidi.
Katika kikao hicho chama cha muziki wa Injili Kimewakilishwa na Addo November, John Shabani, Bahati Bukuku, Upendo Kilahiro, Cosmas Chidumule, George Mpella na Stella Joel,pichani ni matukio katika kikao hicho
Bahati bukuku akiongea jambo wakati wa kikao
Hapa wadau wakipata picha ya pamoja wakati wa kikao hicho
Pichani ni mcheza filamu maarufu JB akichangia hoja na mawazo yake
Ni mcheza filamu Ray akiongea na waziri wakati wa kikao hicho
No comments:
Post a Comment