curtains
Curtain poles zapatikana kwa order Homez Deco
Kwa curtain poles za dirisha moja la ukubwa wowote ule, na zinakuwa ni 3
moja ni yakushikia pazia jepesi, pazia zito, na ua la kushikia pazia.
Jumla inakuwa ni Tshs. 65,000/= karibuni sanaaaa
Curtain Designs Catalouges....... Available with us........
Karibuni
sana ofisini kwetu, kinondoni studio, karibu na sterior bar...... tuna
catalogues zaidi ya 300 mpya...... ndio nimeanza kuwaletea..... pls
msishangae ni tatu kwa sasa, nyingi nitaendelea kuwaletea, kumbuka siuzi
vitambaa, ninashona tu kwa sasa......
Curtain Designs Catalouges....... Available at homez deco........chagua na nitumie kwenye email: bkanemba@yahoo.com
haya ndugu wadau curtains ndio hiziiiii, kumbuka ziko zaidi ya design 300 .....
CHAGUO NI LAKO DUNIA NI YAKO..... 2013.....
karibuni........
Karibu Homez Deco Kwa mahitaji ya pazia, tunashona designs nyingi
ikiwemo na hizi unazoziona..... (hatupokei vipimo vya madirisha kutoka
kwa mteja, tunakuja kupima wenyewe, na hii ni kutokana na kuepuka
kukosea vipimo) Bei ni kulingana na ukubwa wa dirisha lako......Karibuni
sana.......
Muendelezo wa curtain designs.....zinapatikana Homez Deco...
ndugu mdau, ukihitaji hizi pazia, nitumie email na picha ya pazia unayohitaji, kwa maelekezo zaidi....
Baadhi ya kazi zetu Homez Deco-Kreative Homez- Karibuni sana.
hizi
ndizo baadhi ya display zilizoko dukani kwetu, tunashona mapazia,
pillow cases size zote, tunauza mito size zote, maua artificial, tuna
repair makochi design zote, na kutengeneza pia. Catalogues za masofa
tunazo. Mafundi wakiwa mzigoni hapo.
No comments:
Post a Comment