Hii ilikua ni zawadi ya send off ya mmojawapo ya mdau wetu..... pilikapilika zote ilikua kama ifuatavyo
na hapa ndio zawadi ya send off aliyopewa mtarajiwa siku hiyo.....kama inavyoonekana, ni kitanda cha 4 poster, neti, stool na dressing table ambavyo tulivitengeneza sisi homez deco... godoro, mashuka, na kapeti walivileta wao wenyewe wana kamati kutokana na choice yao ......Vijana mzigoni very busy''''''Kwakweli huwa tunaheshimu kazi za wateja wetu na kuthamini mahitaji na matakwa yao bila kuacha kutoa ushauri pale tunapoona panawezekana kufanya hivyo ili kupata matokeo mazuri ya kazi tunazozifanya
Picha hapo juu tukitandika kitanda, na kukiweka tayari, tulishirikiana kuweka mambo sawa, na tuliwahisha zawadi kwa muda waliohitaji....
Baada ya kazi so happy....
Hapo juu, akiwa anawasubiria walete mashuka tuweze kutandika na tuwakabidhi.....
sylivia mzigoni hana mchezo linapokuja swala la kazi kwakweli''''''so proud of u
Hapa akifunga neti kwenye miguu ya kitanda......
vijana wa kazi mzigoni........na kuhakikisha kilakitu kinaenda sawa...ni kama nyuki kwenye mzinga
neti ikipachikwa kwenye kitanda...ni rahisi kuwekwa,jionee mwenyewe
Dressing table.....
Seti ya harusi........
Tukiandaa seti ya zawadi ukumbini....
kila la kheri maharusi wetu tunawapenda sana
Tunapenda kuwakaribisha wote ambao wangependa kuwapa zawadi maharusi ya fanicha za chuma...bei zetu ni sawa na bure karibu, na tuwasiliane kwa mahitaji hayo kwa
0714 950054 au e-mail bkanemba@yahoo.com
TUNAWAPENDA KARIBUNI SANA!!
No comments:
Post a Comment