Zawadi'''
Ilikua ni mdau wetu aliyetaka kutengenezewa hizi zawadi ili akamtuze bi harusi wake ...na sisi tulifanya kazi zetu ikawa kama ifuatavyo
Zawadi ya bi harusi mtarajiwa.......
Zawadi ilikua ni kitanda, stool, na dressing table....alikabidhiwa katika chakula cha usiku kilichoandaliwa na familia....
inapendeza kwa kweli, hasa ukimzawadia mtarajiwa, vitu vinavyodumu kwa kweli....
nawatakia kila la kheri katika maisha yenu ya ndoa....
Toa oda yako wasiliana nami kwa 0714950054
KARIBUNI SANA SANA TUNAWAPENDA WOTE'''
No comments:
Post a Comment