Hakika katika yesu everything is double double.......
Ni pastor uche aliyeimba wimbo huo akiwa katika utumishi wake.....Ni wimbo mmoja ambao umekujlikana katika eneo kubwa la nchi mbalimbali nakupitia wimbo huo yeye amejulikana kulitangaza jina la yesu kristo
Haijalishi uko katika hali gani leo ila Mungu wetu anaweza kukubadilisha ukawa wa tofauti na aina yake katika ulimwengu huu
Yeye anasema anampenda mungu na amejidhihirisha katika maisha yake,nae ni mtoto katika familia ya kichungaji na kulelewa katika maadili hayo.Jina lake kamili ni Uchechukwu Godstime Aguna kwa ufupi ndio uche
Hapa ni pastor uche akiwa katika utumishi
No comments:
Post a Comment