Hatimaye sasa ni Bwana na Bi John Said. Baba ni Mchungaji, Mama ni Muimbaji
Watoto watakuweje, ni baraka zaidi hata. Tazama baadhi ya picha uone mambo yalivyokuwa kwenye sherehe ya wanandoa hawa wapya.
Furaha haziwezi kuisha kwenye nyuso za maharusi hawa, Mchungaji John
Said na muimbaji maarufu wa nyimbo za Injili, Martha Mwaipaja. Sinza
Deluxe Inn ndio ukumbi ulioweka historia ya sherehe maharusi hawa
waliafikiana kuwa mwili mmoja.
Mama
mzazi wa Mchungaji John Said akizungumza mawili matatu na kuitabiria
mema ndoa ya mwanaye kwenye sherehe amabyo ilifana pale Sinza Deluxe
Inn.
No comments:
Post a Comment